Kusikiliza

Kusikiliza hadithi kunaleta utamu! Njoo kaa nasi usikilize baadhi ya hadithi za Biblia katika Kimalila! Umeshawahi kusikia hadithi ya mwanamke mmoja aliyeacha familia yake na kwenda ugenini na mwishoni akawa bibi mkuu wa mfalme Daudi? 

Hadithi hii na nyingine nyingi utazipata kwenye ukurasa huu.

 

Furahia kusikiliza!

Thumbnail image
Thumbnail image

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.